Take a fresh look at your lifestyle.

Pata Matokeo Bora Kwa Kuku Na Kuongeza Kipato Zaidi Tena Bila Sumu Yeyote

Mbinu Kumi Za Kufuga kuku kwa matokeo bora zaidi Youtube
Mbinu Kumi Za Kufuga kuku kwa matokeo bora zaidi Youtube

Mbinu Kumi Za Kufuga Kuku Kwa Matokeo Bora Zaidi Youtube Kuku wa asili ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo kupambana na umaskini unaowakabili watanzania wengi. ni mazoea kwa jamii nyingi hapa tanzania kufuga kuku wa asili kama sehemu ya mila na desturi zao. kuku wa asili amekuwa akifugwa bila. Kuku hushambuliwa na magonjwa na husababisha hasara kubwa katika ufugaji wa kuku. ugonjwa wa kutisha zaidi ni kideri mdondo (newcastle). punguza uwezakano wa maambuzi ya magonjwa kwa kuwapa kuku lishe bora, weka makazi safi, na kufuata utaratibu wa chanjo. pia, wape kuku dawa ya miyoo, la sivyo, chakula unachowapa kitakuwa cha kulisha vimelea.

Mbinu Kumi Za Kufuga kuku kwa matokeo bora zaidi New I Mshindo Media
Mbinu Kumi Za Kufuga kuku kwa matokeo bora zaidi New I Mshindo Media

Mbinu Kumi Za Kufuga Kuku Kwa Matokeo Bora Zaidi New I Mshindo Media Uwezo wa kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. katika sehemu hii utajifunza njia bora ya kufuga na utafanya maamuzi sahihi. 2.1 kufuga huria kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. Tayari utakuwa na kuku zaidi ya 1,200ndani ya miezi 6 hadi 8 tu? hivyo utajikuta unao kuku zaidi ya 1,000! kati ya kuku 1,000 ukisema utoe kuku 800 wa kuuza na ukiwauza kwa bei ya tsh. 4,000 kwa kila kuku 1 tayari utakuwa na jumla ya tsh. 3,200,000 = ambazo unaweza kufanya mtaji wa mambo mengine au kuboresha mradi wako zaidi. 1. kufuga huria. kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. kwa ufugaji huu lazima kuwe na eneo kubwa la kutosha kuku kuzunguka na kutafuta chakula. Yamefanyiwa majaribio katika mataifa yanayostawi tangu miaka ya 1950. matokeo ya kuku wapatao 200 hadi 300 kwa shamba moja hayajawai kufaulu. hasara imepatikana na waweza kuona nyumba zilizokuwa na kuku bila chochote, pesa nyingi zimepotea na kuku hawapo. mfumo wa kienyeji ni bora (k atika hali ya kiuchumi) iwapo idadi ya kuku haitazidi kuku 50.

Lishe bora Endelevu Ya kuku kwa matokeo bora zaidi Mabusi H M
Lishe bora Endelevu Ya kuku kwa matokeo bora zaidi Mabusi H M

Lishe Bora Endelevu Ya Kuku Kwa Matokeo Bora Zaidi Mabusi H M 1. kufuga huria. kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. kwa ufugaji huu lazima kuwe na eneo kubwa la kutosha kuku kuzunguka na kutafuta chakula. Yamefanyiwa majaribio katika mataifa yanayostawi tangu miaka ya 1950. matokeo ya kuku wapatao 200 hadi 300 kwa shamba moja hayajawai kufaulu. hasara imepatikana na waweza kuona nyumba zilizokuwa na kuku bila chochote, pesa nyingi zimepotea na kuku hawapo. mfumo wa kienyeji ni bora (k atika hali ya kiuchumi) iwapo idadi ya kuku haitazidi kuku 50. Aina bora ya nguruwe kwa ajili ya kufuga. nchini tanzania, ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. hii ni kwa sababu nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia mfugaji kipato kwa haraka, kwani huzaa mara mbili kwa mwaka na kila mzao anaweza kuzaa watoto 12. pamoja na matunzo mengine ya nguruwe ili mfugaji aweze kupata faida kama. Hakikisha wanapata chanjo ya newcastle wiki ya pili kwa kukuwapya utakaowaleta. ni muhimu sana. pia viatamini na madini kama utakavyoshauriwa na watalamu wa mifugo. 3a. kama una uwezo mzuri ni vizuri kufuga kwa awamu. mathalani wapishane kwa wiki 2, (yaani unaingiza kukuwapya kila baada ya wiki mbili).

Comments are closed.