Take a fresh look at your lifestyle.

Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Kuacha Kazi Yako Kingi Kigongo

jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Kuacha Kazi Yako Kingi Kigongo
jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Kuacha Kazi Yako Kingi Kigongo

Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Kuacha Kazi Yako Kingi Kigongo Usiache kazi kabla ya kufikia kwenye kilele cha mafanikio ya biashara yako. sasa hebu tuanze! jinsi ya kuanzisha biashara yako ya pembeni na kujiongezea kipato bila kuathiri muda wako wa kazi: kwa kufuata hatua hizi 10 rahisi: 1.uwe na lengo (wazo) na ujizatiti kutimiza lengo lako. Kwa kufanya kitu unachokipenda, utakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa furaha na kujisikia kuridhika na kazi yako. hii inaweza kukusaidia kufikia malengo yako kifedha kwa sababu utakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kwa muda mrefu bila kuchoka. ni muhimu kufanya kitu ambacho unakipenda na kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yako ya.

3 jinsi ya Kutafuta Wazo La biashara yako ya Mtandaoni kingi
3 jinsi ya Kutafuta Wazo La biashara yako ya Mtandaoni kingi

3 Jinsi Ya Kutafuta Wazo La Biashara Yako Ya Mtandaoni Kingi Kwa ujumla, kuanzisha biashara mtandaoni kuna faida nyingi kama vile, gharama nafuu, uwezo wa kufikia wateja wengi zaidi, uwezo wa kufanya kazi kutoka mahali popote, uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja na uwezo wa kufuatilia matokeo ya biashara yako.hizi ni baadhi tu ya faida za kuanzisha biashara mtandaoni. kwa leo niishie hapo. 1. tambua kwanza una kipaji gani, taaluma, uzoefu au unapendelea zaidi kitu gani katika maisha yako. 2. jiulize jamii inayokuzunguka ina mahitaji gani au wana tatizo lipi linalohitaji suluhisho. 3. fikiria au tafuta wazo la biashara utakayoweza kuifanya kwa kutumia vigezo namba 1 & 2. 4. Tunza mahesabu ya biashara kwa usahihi hakikisha mahesabu yote ya manunuzi,mauzo na malipo yanatunzwa kwa usahihi kwaajili ya kupata taarifa za maedeleo ya biashara yako. fungua akaunti maalumu ya benki kwa ajiri ya biashara pekee. jilipe mwenyewe mshahara dhumuni a kuanzisha biashara ni kuongeza chanzo cha mapato binafsi. Kwanza hakikisha mkataba wako na mwajiri wako unakuruhusu kufanya biashara ukiwa mwajiriwa wake. kuna baadhi ya makampuni huwezi kuanzisha biashara ukiwa bado mwajiriwa wao. soma mkataba wako wa kazi muda: tambua kwamba biashara mpya inahitaji muda wako wa kutosha. kuna muda wa kazi yako na muda wa biashara yako. panga muda wako vizuri.

jinsi ya kuanzisha biashara bila Mtaji Udaku Special
jinsi ya kuanzisha biashara bila Mtaji Udaku Special

Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Mtaji Udaku Special Tunza mahesabu ya biashara kwa usahihi hakikisha mahesabu yote ya manunuzi,mauzo na malipo yanatunzwa kwa usahihi kwaajili ya kupata taarifa za maedeleo ya biashara yako. fungua akaunti maalumu ya benki kwa ajiri ya biashara pekee. jilipe mwenyewe mshahara dhumuni a kuanzisha biashara ni kuongeza chanzo cha mapato binafsi. Kwanza hakikisha mkataba wako na mwajiri wako unakuruhusu kufanya biashara ukiwa mwajiriwa wake. kuna baadhi ya makampuni huwezi kuanzisha biashara ukiwa bado mwajiriwa wao. soma mkataba wako wa kazi muda: tambua kwamba biashara mpya inahitaji muda wako wa kutosha. kuna muda wa kazi yako na muda wa biashara yako. panga muda wako vizuri. Jinsi ya kuanzisha kampuni, kuanzisha kampuni nchini tanzania kunahusisha hatua kadhaa muhimu ambazo zinapaswa kufuatwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za wakala wa usajili wa biashara na leseni (brela). hapa chini ni mwongozo wa hatua za kufuata ili kusajili kampuni yako: hatua za kuanzisha kampuni. fungua akaunti ya mtandaoni:. Ninafundisha namna ya kuanzisha kwa urahisi biashara kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, ngo, cbo na watu binafsi. nk mwisho (end): kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye facebook, instagram, linkedin, whatsapp, twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii.

Comments are closed.