Take a fresh look at your lifestyle.

Historia Ya Kabila La Wazaramo Youtube

historia Ya Kabila La Wazaramo Youtube
historia Ya Kabila La Wazaramo Youtube

Historia Ya Kabila La Wazaramo Youtube #wazaramo #makabila. About press copyright press copyright.

historia ya kabila la Wayao youtube
historia ya kabila la Wayao youtube

Historia Ya Kabila La Wayao Youtube Hariri chanzo. fungua historia. wazaramo (1906) wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la dar es salaam, baina ya rufiji na bagamoyo, nchini tanzania. mwaka 2000 idadi ya wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. lugha yao ni kizaramo. katika eneo la rufiji wanajulikana pia kwa jina la wamyagatwa. Aug 20, 2017. #1. zijue baadhi ya koo za kizaramo, asili na maana yake. wazaramo wazaramu ni kabila linalopatikana mkowa wa pwani, daresalama na maeneo ya mkowa wa morogoro ( morogoro vijijini, hasa mvua na dutumi). wazaramu wana koo nyingi sana zisizopungua arobaini (40). baadhi ya koo hizo (koo zilizonyingi) hufanana na koo zinazopatikana. Wazaramo. kabila la wazaramo, linalojulikana kwa jamii yenye nguvu ya uzazi, linaishi zaidi katika eneo la pwani la tanzania, katikati mwa jiji kubwa la tanzania, dar es salaam. watu wa zaramo wanafuata mchanganyiko wa dini za jadi na uislamu, ambao umeenea katika eneo hili tangu karne ya 18. Kabila hili linasifika kwa kupenda sherehe, ambapo katika makala haya mwananchi jumamosi lilifanikiwa kuzungumza na mwajabu akide ambaye ni ajuza, mkazi wa kijiji cha mengwa wilayani kisarawe, mkoa wa pwani anayeelezea mtiririko wa sherehe za kabila la wazaramo. mwajabu anaelezea pia utamaduni, mila, desturi, sherehe za wazaramo na maana yake.

Comments are closed.